Msaada tatizo la kupata mimba

Msaada tatizo la kupata mimba

Chachii

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
91
Reaction score
10
Habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,siku zake za mwezi ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,sijui nifanyeje?
 
Tatizo la kupata mimba au tatizo la kukosa mimba? Kupata mimba ndio tatizo au kukosa mimba ndio tatizo. Dah kiswahili ni kigumu. Ila pole na tatizo. Tusubiri waje washauri.
 
habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,cku zake za mwez ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,cjui nifanyeje

Ni mapema mno kusema hilo ni tatito! Miezi minne tu! Bado sana shughurika ipasavyo mkuu mimba itaingia tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa sababu mzunguko wake unabadilika, mngeenda kwa dr wa wanawake wamchunguze siku maalum aliyo tayari kubeba mimba. Ni very simple.

kila la kheri
 
kwahiyo nisubiri miez mingapi ndo nijue ni tatizo?
 
Tatizo la kupata mimba au tatizo la kukosa mimba? Kupata mimba ndio tatizo au kukosa mimba ndio tatizo. Dah kiswahili ni kigumu. Ila pole na tatizo. Tusubiri waje washauri.

tatizo la kukosa mimba mkuu..kiswahili kigumu bwana
 
Ni mapema mno kusema hilo ni tatito! Miezi minne tu! Bado sana shughurika ipasavyo mkuu mimba itaingia tu.

sawa mkuu ,ila cjaelewa baada ya miez mingapi ndo niseme ni tatizo?
 
habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,cku zake za mwez ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,cjui nifanyeje

Mgegede kuanzia siku ya 11 hadi 18 a mzunguko wa hedhi ndo za kupata mimba haswa siku ya 13 hadi 16 ndo muhimu kabisa asipopata nakushauri uchepuke usimpa binti huko mimba jua kabisa ww ndo shida.
 
mh nichepuke mh!hapo hapana,ila thanx kwa ushaur
 
habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,cku zake za mwez ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,cjui nifanyeje

Mmekwenda hospitali na kupima woote mkajua status zenu,kwa maana ya mwanamke kama anaweza kubeba mimba na kama mwanaume una uwezo wa kubebesha mimba??, mkipata hayo majibu then itaku rajisi kuanzia hapo
 
Jaribu hii hapa

attachment.php
 
Attachments

  • 1400394487594.jpg
    1400394487594.jpg
    24.8 KB · Views: 674
mh nichepuke mh!hapo hapana,ila thanx kwa ushaur

Pia tumia staili ya kifo cha mende (missionary position)

Usichoke aisee, pia muulize kama alishawahi kutumia dawa za majira, maana nazo ni majanga.
 
Mmekwenda hospitali na kupima woote mkajua status zenu,kwa maana ya mwanamke kama anaweza kubeba mimba na kama mwanaume una uwezo wa kubebesha mimba??, mkipata hayo majibu then itaku rajisi kuanzia hapo

poa mkuu 2taenda kupima
 
Pia tumia staili ya kifo cha mende (missionary position)

Usichoke aisee, pia muulize kama alishawahi kutumia dawa za majira, maana nazo ni majanga.

nimefanya yote mkuu pia hajawah ku2mia vidonge wala cndano wala vipandikiz
 
Kaka usikate tamaa siku izi aya matatizo mimba kutoingia au mimba kutoka imekua ni changamoto kwa wanandoa wengi!
 
Huna tatizo...just relax,una ham nayo sana ndo mana...ndani ya miezi mitatu mpaka sita itatiki tu we hakikisha zile siku za upevushwaji wa yai muwe mnafanya

Kama unahisi kuna tatizo we rekodi kalenda yako then mkamwone Gyno
 
Back
Top Bottom