Msaada: Tatizo la kutoona kwa dakika 20

ozil 10

Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
85
Reaction score
53
Habari waungwana,

Jana mke wangu alipata tatizo la kutoona kama dakika ishirini.

Naombeni wajuzi watupe elimu juu ya hili tatizo, Leo kaamka anasema mishipa ya kichwa inauma.
 
Habari waungwana jana mke wangu alipata tatizo la kutoona kama dakika ishirini naombeni wajuzi watupe elimu juu ya hili tatizo,Leo kaamka anasema mishipa ya kichwa inauma
Nenda hospitali ukamcheki blood pressure haraka sana...

Usiendelee kusoma hapa, wahi mkimbizi fastaaaa!!

Ushaenda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…