Kama unaishi kwa kula biskuti 2 na Coca kama msomali usitegemee kupata choo, labda unaweza kupata bafu kidogo, kula ugali wa dona wa kutosha na matunda hasa machungwa au machenza na uyale na makapi yake sio kunyonya juice yake na kuyatupa. Usipopata choo nenda kapigiwe ramli labda mpo wawili.!!