Samahani, hospital ulienda? walikuambia una matatizo gani yanayosababisha hayo maumivu?Mimi nilikua muhanga nililala chini miezi4 sikupata nafuu hata chembe.
Ila baada ya kuchomwa x_pen, nenadu kila wiki kwa wiki3 hali imeisha kabisa ilifika stage had nikawa naog maji ya moto ata mchana.....pole sana najua maumiv yake