Msaada:Tatizo la meno kapoteza rangi yake

Mbonajohn

Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
10
Reaction score
29
Habari wana jamii...
Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku.

Nifanye nini ili kurudisha weupe wake?
 
Hueleweki rudi kulala kwanza ukiamka uandike tena
 
Mkuu waone wataalam wa meno na kinywa, watakupa msaada
 
Habari wana jamii...
Nina tatizo la meno yangu kupoteza rangi yake ya weupe japo nimekuwa nikisafisha kinywa(kupiga mswaki) kwa zaidi ya mara 3 kwa siku.

Nifanye nini ili kurudisha weupe wake?
Tafuna karoti kwa wingi, tumia maganda ya ndizi za kuiva (sugua meno yako na maganda hayo kabla ya kipiga mswaki, yana kalsiam, magniziam na manganizi ambazo hung'arisha meno, kwa maelezo zaidi tembelea dhahaabu. Blogspot. Com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…