Msaada: Tatizo la meno kutoboka

Msaada: Tatizo la meno kutoboka

Joined
Nov 11, 2015
Posts
43
Reaction score
1
Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado.
 
Kuna kuziba /filling kwa yale yaliotoboka lakini halijaoza ama kuharibika na kuuma
 
Ni dawa gani ? in aweza kuto a rangi za njano Kwenye meno .anayejua jina lake anijeze.
 
Kusugua mara tatu kwa namna gani hilo ni jambo la muhimu. Unaweza kusugua hata mara moja kwa siku ikawa poa.Kitu cha muhimu sugua pale ukila kitu au kunywa soda. Kama mtu wa kulakula sana unaweza sugua hata mara 20 kwa siku.

Sugua baada ya kula sio kabla ya kula.
 
Kaka unahitaji kumuona daktari na mie ni dentist! Kama uko serious njoo inbox kaka hapa hatutuhusiwi kujitangaza
 
Back
Top Bottom