P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Dec 16, 2015 #1 Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado.
Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado.
Tayomist Member Joined Apr 24, 2015 Posts 19 Reaction score 26 Dec 16, 2015 #2 Kuna kuziba /filling kwa yale yaliotoboka lakini halijaoza ama kuharibika na kuuma
P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Dec 16, 2015 Thread starter #3 Dawa gani ? ni n Zuri zaidi ya meno.
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 378 Dec 16, 2015 #4 paschal majune said: Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado. Click to expand... Unazama sana
paschal majune said: Meno yangu yanachimbika. Nimejaribu kusukutua mara tatu kwa Siku lakini bado tatizo linaendelea dawa mbalimbali za meno nimetumia lakini bado. Click to expand... Unazama sana
P paschal majune Member Joined Nov 11, 2015 Posts 43 Reaction score 1 Dec 17, 2015 Thread starter #5 Ni dawa gani ? in aweza kuto a rangi za njano Kwenye meno .anayejua jina lake anijeze.
Kawalala93 JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 400 Reaction score 1,587 Dec 17, 2015 #6 Muone dentist..
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Dec 17, 2015 #7 paschal majune said: Dawa gani ? ni n Zuri zaidi ya meno. Click to expand... Tafuta sensodyne
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,102 Reaction score 355 Dec 17, 2015 #8 Kusugua mara tatu kwa namna gani hilo ni jambo la muhimu. Unaweza kusugua hata mara moja kwa siku ikawa poa.Kitu cha muhimu sugua pale ukila kitu au kunywa soda. Kama mtu wa kulakula sana unaweza sugua hata mara 20 kwa siku. Sugua baada ya kula sio kabla ya kula.
Kusugua mara tatu kwa namna gani hilo ni jambo la muhimu. Unaweza kusugua hata mara moja kwa siku ikawa poa.Kitu cha muhimu sugua pale ukila kitu au kunywa soda. Kama mtu wa kulakula sana unaweza sugua hata mara 20 kwa siku. Sugua baada ya kula sio kabla ya kula.
STimira Senior Member Joined Feb 14, 2012 Posts 133 Reaction score 24 Dec 17, 2015 #9 Kaka unahitaji kumuona daktari na mie ni dentist! Kama uko serious njoo inbox kaka hapa hatutuhusiwi kujitangaza
Kaka unahitaji kumuona daktari na mie ni dentist! Kama uko serious njoo inbox kaka hapa hatutuhusiwi kujitangaza