Wewe ungetwambia wewe alikusahuri ule vyakula gani ili nasisi tulio na tattizo hilo tupate faida mimi spinal zinasumbua sanaaa yani.Du! bora hata bibi inaeleweka ni uzee. Mi nina miaka 33 nina hilo tatizo. Lilianza miaka 4 iliyopita. Sijapona kabisa ila tatizo limepungua. Nakula vyakula vyenye calcium kwa wingi ili kuimarisha mifupa. Ikiwa imara kusagana kunapungua, nakula pia vyenye omega 3 kama samaki wa maji baridi. Mpeleke bibi kinondoni kwa dr. boaz 0713236164. Kama uko mbali na dar peleka picha yake ya hivi karibuni ya x-ray inayoonyesha aina/ukubwa wa tatizo. Huyu dr atakuelekeza vyakula vinavyoweza kurudisha fluid. Ni vyakula tunavyoviona kila siku kama kisamvu ila atakuelekeza namna nzuri ya kutumia hivyo vyakula. Mimi daktari aliniambia kabisa dawa hakuna na nimeangalia kwenye mitandao kuhakikisha nikaona ni kweli. Dawa zilizopo nyingi ni supplements za virutubisho tu. Naishi kwa vyakula na naendelea vizuri. Kamuone huyu daktari.
Du! bora hata bibi inaeleweka ni uzee. Mi nina miaka 33 nina hilo tatizo. Lilianza miaka 4 iliyopita. Sijapona kabisa ila tatizo limepungua. Nakula vyakula vyenye calcium kwa wingi ili kuimarisha mifupa. Ikiwa imara kusagana kunapungua, nakula pia vyenye omega 3 kama samaki wa maji baridi. Mpeleke bibi kinondoni kwa dr. boaz 0713236164. Kama uko mbali na dar peleka picha yake ya hivi karibuni ya x-ray inayoonyesha aina/ukubwa wa tatizo. Huyu dr atakuelekeza vyakula vinavyoweza kurudisha fluid. Ni vyakula tunavyoviona kila siku kama kisamvu ila atakuelekeza namna nzuri ya kutumia hivyo vyakula. Mimi daktari aliniambia kabisa dawa hakuna na nimeangalia kwenye mitandao kuhakikisha nikaona ni kweli. Dawa zilizopo nyingi ni supplements za virutubisho tu. Naishi kwa vyakula na naendelea vizuri. Kamuone huyu daktari.
Duh! Huu uzi utakuwa wa miaka mingi sana. Stress za kuachwa zilipoisha na ugonjwa wa mifupa ukaisha. Nilishapona mimi. Kwa hiyo wewe kama si mzee fanya check-up ya mambo ya huko kumoyo huku ukiendelea na mazoezi ya viungo na kutumia supplements za kulainisha maungo utakazoandikiwa na daktari wa mifupa.Wewe ungetwambia wewe alikusahuri ule vyakula gani ili nasisi tulio na tattizo hilo tupate faida mimi spinal zinasumbua sanaaa yani.