Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
nadhan maelezo mazuri wangetoa hao unawaita magainae " obstreticians and gynecologists", kwa mtazamo wangu maelezo yako hayatoshi kabisa kwa mtu humu jf kutoa suluhisho sahihi. nafikiri ni vema ungetaja umri wa huyo mmwanamke, zimeharibika mimba ngapi?, na je umri wa mimba kuharibika unaongezeka au unapungua? na je dalili zipi za awali kabla ya mimba kuharibika, historia ya huyo mwanamke pia?Mke wake amekuwa akipata tatizo la mimba kuharibika kwa kutokana na presha. Kila akifikisha miezi6 hali inabadilika na mwishoe mtoto hufia tumboni
pia na kaka Mshana Jr