Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Habari zenu wadau,
Naleta kwenu tatizo linalomsumbua dada mmoja, kipindi cha nyuma alikuwa anaona siku zake kawaida japo ilikuwa kwa maumivu makali hasa siku ya kwanza hadi ya tatu.
Lakini hali imebadilika tena na kuwa mbaya zaidi kwani mwezi huu aliingia Mp tar 9 hadi leo bado haijakoma means hazijakatika, tatizo linaweza kuwa ni nini wadau?.
Msaada tafadhali!