Msaada: Tatizo la MP

Njema kabisa

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
699
Reaction score
238
Habari zenu wadau,

Naleta kwenu tatizo linalomsumbua dada mmoja, kipindi cha nyuma alikuwa anaona siku zake kawaida japo ilikuwa kwa maumivu makali hasa siku ya kwanza hadi ya tatu.

Lakini hali imebadilika tena na kuwa mbaya zaidi kwani mwezi huu aliingia Mp tar 9 hadi leo bado haijakoma means hazijakatika, tatizo linaweza kuwa ni nini wadau?.

Msaada tafadhali!
 
Pole sana kwa tatizo lako, ulishawahi kutoa mimba? Ulishawahi kufanya mapenzi kwa style za ajabu ajabu? Ushawahi kutumia njia "za kisasa" za uzazi wa mpango? Nenda hospital utapata matibabu
 
Pole sana nenda jukwaa jf doctor nadhani huko kuna madaktari watakusaidia.
 
Njema kabisa anaweza kuwa keshapata mimba maana sababu mojawapo kutoona MP ni kuwa na mimba. kwa hiyo kwanza akapime halafu lete majibu
 
Last edited by a moderator:
Aende hospitali lakini pia kama hospital hakuna tatizo, mazoezi ni mazuri wakati wa hedhi. Je anatumia njia za kuzuia mimba? Hizo ni hatari kwakweli ingawa watu hawajali
 

Ahsante kwa ushaur wako hop ataufanyia kazi.
 
Aende hospitali lakini pia kama hospital hakuna tatizo, mazoezi ni mazuri wakati wa hedhi. Je anatumia njia za kuzuia mimba? Hizo ni hatari kwakweli ingawa watu hawajali

Hapana hatumii ila aliwah kuambiwa kuwa akipata mimba atapona sa cjui kama kwel.
 
Yalinipata mie mwambie ni
hormonal imbalance kwahyo aende kwa dr. atapewa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…