Hiyo ni fungus wa kwenye mwili,miguu na mikono kwenye ngozi nyeusi.Siyo kwenye kiganja.
Sio fungus hao bali ni reaction kati ya ngozi ya kiganja na chemical fulani aidha ndani ya maji au sabuni unazotumia kufulia au hata hata kama Kuna dawa unaweka kwa kuloweka nguo.Habari za jukwaa,
Kwa muda wa wiki mbili sasa nimekuwa nikiliona hili tatizo likinitokea. Mwanzo nilidhani ni kawaida labda kutokana na kufua itaisha siku inayofata lakini hii imekuwa tofauti.
Nimekuwa nikiona hii ngozi ya kiganja cha mkono ikiwa imechanika kwa yapata wiki mbili sasa.
Shida yangu ni kujua, ni vitu gani haswa husababisha tatizo hili ili nipate kujua lilipoanzia, pili namna ya kulitibu?
Natanguliza Shukrani.