Addllicious Member Joined Jan 11, 2017 Posts 7 Reaction score 2 Mar 4, 2017 #1 Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,443 Reaction score 9,854 Mar 4, 2017 #2 Akazane kupata Vitamin A na C, azingatie maji tena