Msaada "tatizo la nyonga"

Msaada "tatizo la nyonga"

Mpucha

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
1,232
Reaction score
1,592
Tafadhali, naomba msaada.
My wife anatatizo la nyonga ie pale ule mfupa wa femur unapo join na pelvis, Upande wa kulia na huhisi maumivu akilalia upande wa kulia. Hata akitembea ameanza kuchechemea
Pamoja na tiba ninazoendelea nazo, naomba experience ya mtu ambae alishakutana na scenario kama hiyo, na tiba, please nahitaji positive contribution. DRs nitashukuru kupata contribition yenu na advices !!!
thanks
 
nakushauri kama bado hajapiga x ray, tafuta hospital nzuri afanye hicho kipimo, mi niliumwa sana ugonjwa kama huo miaka kama ishirini na kitu iliyo pita, nilichelewa kufanya matibabu, baada ya xray waligundua mfupa ulikuwa unalika, nilipewa dawa ila matibabu yake yalichukua muda mrefu sana, pia jaribu kwenda tiba mbadala tofauti ili wakati unatumia dawa za hosp. endelea pia na za tiba mbadala, usichelewe maana mimi nimepata ulemavu wa kudumu.
 
Asante sana na pole sana
 
Back
Top Bottom