nakushauri kama bado hajapiga x ray, tafuta hospital nzuri afanye hicho kipimo, mi niliumwa sana ugonjwa kama huo miaka kama ishirini na kitu iliyo pita, nilichelewa kufanya matibabu, baada ya xray waligundua mfupa ulikuwa unalika, nilipewa dawa ila matibabu yake yalichukua muda mrefu sana, pia jaribu kwenda tiba mbadala tofauti ili wakati unatumia dawa za hosp. endelea pia na za tiba mbadala, usichelewe maana mimi nimepata ulemavu wa kudumu.