Taa hizo mkuu, as long as bado TV inatazamika endelea hivyo hivyo maana option pekee iliyopo kama unataka mwanga urudi ni ubadilishe huo mkanda wa taa za juuu.
maana yake utoe huo unaowakakwa kufifia uweke mpya unaowaka unavyotaka, jumlisha gharama za ufundi Hela itayokutoka najua Utaona ni bora uangalie tu hivyo hivyo maana hamna changes zozote zile ukizoea.
Unapata shida sasa hivi tu ila ukiiitumia hyo tv hvyo hvyo ndani ya wiki tu macho yanazoea yanaona kawaida maisha yanaendelea.