Msaada tatizo la usingizi marakwamara

Msaada tatizo la usingizi marakwamara

Joined
May 27, 2013
Posts
14
Reaction score
4
Habarini wanajamvi
mimi ni mwanafunzi kidato cha sita mkoan pwani nasumbuliwa na usingizi mara kwa mara hasa baada ya kula muda wowote kwa anaeijua tiba..
 
Pole sana,hebu jaribu hii kama wewe ni mmoja kati ya wale wanaokula huku wanakunywa maji wakati huo huo hebu acha,yaani fanya hivi baada ya kumaliza kula usinywe maji mpaka lipite lisaa limoja ndo unywe maji,hii mimi imenisaidia,kama haijakusaidia omba msaada zaidi..
 
Habarini wanajamvi
mimi ni mwanafunzi kidato cha sita mkoan pwani nasumbuliwa na usingizi mara kwa mara hasa baada ya kula muda wowote kwa anaeijua tiba..

MziziMkavu busara zako zinahitajika hapa!
Kama hutaki upatwe na usingizi kunywa kahawa chungu hutopatwa na usingzi nduna lingasangasa

1024px-A_small_cup_of_coffee.JPG
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom