Msaada: Tatizo la utando kooni

Msaada: Tatizo la utando kooni

Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
154
Reaction score
63
Ninasumbuliwa na kitu kama utando katika koo ambao huwa unatokea kwa Muda na kuondoka........ Msaada wa dawa zinazotibu Tatizo hilo wazalendo wenzangu
 
Kapime kwanza afya yako....uonane na Dr atakupa tiba sahihi.
 
Ukiwa unendelea kufuatilia vipimo, jitahidi
 
Ukiwa unaendelea kufuatilia vipimo, jitahidi kunywa mtindi kila siku ni dawa sana ya huo utando!
 
Ninasumbuliwa na kitu kama utando katika koo ambao huwa unatokea kwa Muda na kuondoka........ Msaada wa dawa zinazotibu Tatizo hilo wazalendo wenzangu
Unaitambua fangasi ya mdomo?,suluhisho liko hapa

oral_c1_d01.png

ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha hali hii ya kutokea kwenye kinywa, lakini chanzo chake kikubwa ni maradhi yanayosababishwa na fangasi.

Maradhi ya fangasi ya kinywa huweza kuathiri koo pia. Vijidudu vinavyoathiri hujulikana kama oral candidiasis na wale wanaoshambulia koo huitwa oesophageal candidiasis.

Inapotokea uwiano huu wa kinga ya mwili na vimelea aina ya bacteria kushindwa kuzuia ongezeko la vimelea hivyo vya fangasi ndipo hali huwa mbaya na kusababisha utando mdomoni.

Maradhi haya ni kawaida kuonekana kwa watoto wachanga. Maradhi haya hutokea kutokana na hali ya kutokuwa na uwiano sahihi kati ya kinga ya mwili wa mtoto na vimelea aina ya bacteria.

Inapotokea yakatokea kwa mtu mzima, basi mara nyingi huwa kuna viashiria hatarishi kama vile upungufu wa kinga.

Mfano ni watu wenye maradhi ya muda mrefu kama saratani, kisukari na ukimwi au mwanamke wajawazito, hali hiyo hushusha kinga zao.
Tatizo hili huwapata pia watu wanaotumia dawa kwa muda mrefu hususani dawa za vijiuasumu (antibiotic) au za maradhi yanayotibiwa kwa muda mrefu kama vile saratani.
Kinachoweza kusababisha hali hiyo pia ni msongo wa mawazo wa muda mrefu.

Maradhi haya kwa kawaida siyo ya kuambukiza ingawa mtoto mchanga mwenye maradhi haya huweza kuyaambukiza matiti ya mama yake.

Dalili ni utando mweupe ambao huonekana kwenye kinywa eneo la ulimi na mashavuni kwa ndani. Kwenye koo huonekana kwenye kuta zake.
Mara nyingi eneo lenye rangi nyeupe huzungukwa na eneo lenye rangi nyekundu na lililovimba kidogo. Hii hutokana na mashambulizi ya fangasi.

Maeneo haya yaliyoshambuliwa huwa hayana maumivu makali lakini huweza kutoa damu kama yakiguswa au kusuguliwa.Unaitambua fangasi ya mdomo?,suluhisho liko hapa

Nenda Hospitali ukatibiwe usipo pona kwa dawa za Hospitali nitafute mimi nikupe dawa upate kupona haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Aminia
 
Pole ucheki na HIV
Negative Brother..... Lakini nimeiona sababu moja hapo ya kutumia antibiotics kwa Muda mrefu... Nilikuwa Ninasumbuliwa na minyoo kwa miaka mitatu na nilitumia dawa nyingi sana na baada ya minyoo kutoka mwilini ndio shida hii ikaanza
 
nilikuwa Ninasumbuliwa na minyoo kwa miaka mitatu na niliituma antibiotics za kila aina, baada ya minyoo kutoka mwilini ndio shida hii ilianza
 
Vema

Mi brother Evelyn sio!!!
 
Back
Top Bottom