Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Uoga wako na walikutisha ili uache kutumia dawaInatisha acha tuu halafu sio kua anaonekana kama binadamu wa kawaida yaani anaonekana kama kitu kisichokua na hiyo energy inayokua hapo unaweza kupiga mayowe
Mkuu ndio taalma yako nini?Usisahau kutumia majani ya mlonge kwenye uji.
Pamoja na Habat sauda.
Kama kuna maradhi mengine yoyote yataondoka.
Hapa ndipo uchawi ulipoHapana mwili unatingishika sana halaf nakua na joto sana napata ndoto za kutisha kula ndotoni kuota nipo kwenye magari sehemu chafu kama chooni
Fuata ushauri ama achana na ushauri.Mkuu ndio taalma yako nini?
Umesema wakati tatizo linakutokea ulikua mdogo sana? like 5 years old?Sijafika hata 30 mkuu
Umesema wakati tatizo linakutokea ulikua mdogo sana? like 5 years old?
Naomba namba yako ya simu inbox. Naweza kukuelekeza mahali upate usaidizi19 yrs
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kuna ng'ombe humu zinasema hakuna uchawi
Tapeli hilo😁😁😁😁Wewe kijana ni tapeli, kila ugonjwa unatibu napata mashaka na tiba zako.
Nafanyaje hata Mila siijui