MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini

Acha ujuaji uchwara!

Too much talk talk!! Kiherehere na ujuaji usio na tija.

Kama huna msaada nyamaza. Wacha wengine wamsaidie.

Na si ajabu wewe ndio LICHAWI LENYEWE.
 
Tatizo lilianza ulipopelekwa kwa mganga. Wakakupandikizia jini au uchawi.

Tafuta suluhu ya kiroho ambayo ni suluhu binafsi.

Wewe ni Mungu uliye katika mwili. Matatizo yako unaweza kuyatatua mwenyewe.

Hebu jitamkie mwenyewe. Amuru hayo mashetani yaondoke. Amuru uchawi ukuachilie.

Unaweza. Kabisa.

Tafuta na msaada mwingine pia kwa watu wengine huku ukiendelea kujiombea kwa Mungu.
 

Shukran sana
 
Shukran sana
Anza kwa kuogea chumvi ya mawe kila siku.

Nenda maduka ya asili nunua vitu vifuatavyo:

1. Mafuta ya mzaituni (elfu tano) jipake kila siku mengine changanya kidogo kwenye chupa ya maji kunywa kila siku.

2. Nunua unga unaitwa Kisaka uchawi (elfu tatu) (pikia kwenye uji kunywa kila siku)

3. Nunua mafuta ya Habat Sauda (elfu tano) (changanya kwenye chupa ya maji kunywa kila siku)

4. Chumvi ya mawe (elfu mbili)

Anza na hayo huku ukiendelea kusali.
 
Hujalogwa wala nini. Una tatizo linatwa leaky gut syndrome. Huenda umetumia antibiotics kwa muda mrefu au kuna kitu kime upset your gut microbiota. Na kwa hiyo kwa sasa unfriendly microbiota ndiyo waliotawala your gut system. Nitaendelea
Gut unamaanisha small intestine au......
 
Msj Yako hapo mwishoni ni tata
 
Acha ujuaji uchwara!

Too much talk talk!! Kiherehere na ujuaji usio na tija.

Kama huna msaada nyamaza. Wacha wengine wamsaidie.

Na si ajabu wewe ndio LICHAWI LENYEWE.

Kwakua tupo kwenye fake I'ds , nitakutambua kama mwanamke (kwa namna unavyojua kuchamba).

Huwa sibishani na wanawake, kwahiyo tufanye UMESHINDA.
 
Huo unga msaka uchawi kazi yake uwa ni nini
 
Hujalogwa wala nini. Una tatizo linatwa leaky gut syndrome. Huenda umetumia antibiotics kwa muda mrefu au kuna kitu kime upset your gut microbiota. Na kwa hiyo kwa sasa unfriendly microbiota ndiyo waliotawala your gut system. Nitaendelea
Hizi elimu za kukariri ni tatizo katika nchi!

Ati MICROBIOTA!! Mwenzako kakwambia tatizo lilianza alipofanyiwa makorokocho na mganga wa kienyeji!

Ukiwa na akili timamu unaweza kuona chanzo ni nini na sio haya matakataka ya kukariri ya MICROBIOTA sijui nini!

Ninaheshimu sayansi, lakini si kila kitu ni cha sayansi.

Tena nyie mliokariri vitini ni watu hatari sana. Mwenzako atachukuliwa msukule kimasihara huku unamlisha antibiotics.
 

Kwa akili kama zako, utakuta mtu kapandwa na malaria kichwani, damu imepungua mwilini, maji yamepungua mwilini nk.., kisha umekalia kupiga tunguri ukiamini anataka kichukuliwa msukule mpaka mgonjwa anakufia.

Unajiona mwenye akili ilhali akili yako umeiset kwenye matunguli tu.

Mwenye akili huangalia uwezekano wa pande zote, sio kuwaza tunguri tu. Katafute basi wagonjwa wa UKIMWI uwapigie hizo tunguli zako.
 
Wewe utakuwa lichawi si bure.

Hebu kwenda zako muache binti wa watu atafute tiba.

Ameshakwambia kafanya vipimo vyote hajaonekana na tatizo.

Mchawi mkubwa wewe!
 
lee jack pole sana dada ....naomba nikuulize maswali kadhaa na nitakupa njia ya kujitibu kupitia maombi.

I. Unasema unajicho la 3 je ni nani alilolifungua? (Mungu au shetani)

II. Kulikuwa na shida gani Hadi ukaweka maagano na huyo mganga?

II. Mara ya mwisho umeshiriki lini tendo la ndoa?

IV. Unaweza kusali kwa kunena kwa lugha?
 
leaky gut syndrome. Huenda umetumia antibiotics kwa muda mrefu au kuna kitu kime upset your gut microbiota.
key points about leaky gut syndrome:
  1. It is a condition in which the lining of the intestines becomes damaged, allowing unwanted substances to pass through the intestinal wall and into the bloodstream.
  2. Leaky gut syndrome can lead to a range of health problems, including inflammation, autoimmune diseases, and food allergies.
  3. Possible causes of leaky gut syndrome include poor diet, stress, chronic inflammation, and certain medications.
  4. Symptoms of leaky gut syndrome may include abdominal pain, bloating, diarrhea, constipation, and food sensitivities.
  5. Treatment for leaky gut syndrome typically involves addressing the underlying cause of the condition, such as improving the diet and reducing stress. Supplements or medications may also be used to help repair the damaged intestinal lining.
=
key points about the gut microbiota:
  1. The gut microbiota refers to the trillions of microorganisms that live in the digestive tract and are essential for maintaining good health.
  2. The gut microbiota plays a number of important roles in the body, including digestion, absorption of nutrients, immune system function, and mental health.
  3. The gut microbiota can be influenced by a number of factors, including diet, medication use, and overall health.
  4. Imbalances in the gut microbiota, known as dysbiosis, have been linked to a number of health problems, including inflammatory bowel disease, obesity, and autoimmune diseases.
  5. Research is ongoing to understand the complex relationship between the gut microbiota and health, and strategies such as probiotics and prebiotics are being explored to support a healthy gut microbiota.
==
My take
  • Ndugu Algore kwa msaada wa mtandao nimepata hayo maelezo.
  • Maelezo ya mtandao/ maelezo yako: hayaendani na tatizo la mleta mada. lee jack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…