MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini


Number 4 symptoms ameelezea zile common Tu ila nyingine kama kutetemeka kwa misuli (tingling) maumivu ya kichwa, kichwa kujaa (foggy), excessive sweating, pain in the front parts of the legs, etc hakuzijumlisha.

Namba 5 treatments ziko vizuri.

Kwa case ya huyu mleta uzi ushauri wangu ni kuhusu kutumia supplements na hasa probiotics ili kurekebisha gut microflora.
 
Wewe utakuwa lichawi si bure.

Hebu kwenda zako muache binti wa watu atafute tiba.

Ameshakwambia kafanya vipimo vyote hajaonekana na tatizo.

Mchawi mkubwa wewe!
Mchawi ni mtu wa aina gani?

Kasema kwa waganga kaenda na hajapata suluhu pia, hiyo imekaaje?

Nikisema bila shaka wewe ni mganga na unataka kumtapeli dada wa watu, nitakuwa nakosea?
 
Mm sio daktari, ila unaweza ukawa nadalili za rheumatism au osteoporosis au acid imezidi mwilini.
 
Hujalogwa wala nini. Una tatizo linatwa leaky gut syndrome. Huenda umetumia antibiotics kwa muda mrefu au kuna kitu kime upset your gut microbiota. Na kwa hiyo kwa sasa unfriendly microbiota ndiyo waliotawala your gut system. Nitaendelea

Sijaelewa mkuu
 
Kuondoa uchawi wa kulishwa hasa uliopo tumboni na kwingineko.

Niliwahi kununua msaka uchawi na wala sio ghali maduka ya asili kijiko wanaanza miatano ni chungu sana sijawahi kuona ukinywa nyingi unatapika
Basi nilipokunywa kwa mara ya kwanza kabisa nikiwa nimejipumzisha ghafla mbele yangu nikamuona mtu mwanaume mfupi mnene kiasi amenisimamia kwa mbele nilipiga kelele akapotea kuanzia siku hiyo sikunywa tena msaka uchawi
 
Ungeendelea kunywa inawezekana mchawi alikua kaanza kujionesha
 

Jicho la tatu ninalo tangu nikiwa mtoto kwa hiyo sijui nani kalifungua maana nimezaliwa hivi

Kwa mganga nilipelekwa sio kwamba nilienda mwenyewe

Kuhusu kufanya tendo la ndoa sijumbuki ni lini ila ni muda umepita

Sijawahi kunena kwa lugha ila nikisali kwa imani sana huwa nalia
 
Mchawi ni mtu wa aina gani?

Kasema kwa waganga kaenda na hajapata suluhu pia, hiyo imekaaje?

Nikisema bila shaka wewe ni mganga na unataka kumtapeli dada wa watu, nitakuwa nakosea?

Sijaenda kwa waganga mkuu ungesoma vizuri comment ni kua nilipelekwa huko ili nirogwe
 
Wewe inabidi utumie dawa ya mitishamba yenye uwezo wa kutoa hivyo vitu vinavyo tembea mwilini. Kuna dawa ukipewa utumie itaondoa takataka zote humo mwilini mwako. Kama kuna uchawi umefanyiwa itatoa vijini vyote. Ila dawa yenyewe ni chungu sana ukitumia. Kama mwilini mwako kuna kasoro utatapika sana na kuharisha. Ukitumia mara 3 tu utakuwa sawa. Hapa nazungumzia kama ugonjwa huo ni wa kichawi. Kama siyo wa kichawi, basi hata hiyo dawa haitafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…