sparcus
Senior Member
- Feb 18, 2014
- 193
- 125
Habari wana jamii, naombeni msaada wenu juu ya hili kwakweli sielewi ni nini hasa,
Mimi nna mpenzi wangu ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka na nusu sasa na tumeshiriki ngono sio chini ya mara kumi, tatizo lilipelekea kuomba msaada ni juu ya kilichotokea wakati wakufanya hilo tendo, ni mara ya pili sasa umenitokea nafanya nae mapenzi mzunguko wa kwanza unaisha vizuri, ila tukirudia anatoka damu hata kama nilimuandaa vizuri na yeye akahitaji nimuingilie,suala hili hunikatisha hamu kabisa yakuendelea kushiriki na jogoo wangu hukataa kabisa.
Na hata nikimuulia kama alikuwa amekaribia kuingia kwenye mzunguko wake wa mwezi hukataa na nikimuuliza kama amepata maumivu pia hukataa nashindwa kuelewa ni nini tatizo na tiba yake ni nini naombeni msaada wenu
Naombeni mnisaidie majibu ya kashfa au matusi sio mazuri hamtanisaidia mkifanya hvyo
Asanteni na karibuni kwa msaada