Msaada: Taya yangu inasuguana nikitafuna kitu

Msaada: Taya yangu inasuguana nikitafuna kitu

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,151
Reaction score
2,162
Salaam kwenu.

Naombeni kujuzwa nina mwezi wa pili sasa TAYA yangu inapekecha nikiwa nakula na ni upande mmoja.

Nahisi alignment yake imepishana.

Msaada ni dawa gani au matibabu gani naweza pata.
 
Back
Top Bottom