kuna list imeandikwa current vertion ya qualified but not selected, inamajina 9200+ hata hiyo sms mimi sikuipata. I guess a lot of applicant have missed this.Kutokana na takwim zao kuna watu 4000 ambao walikuw qualfied but not selected hvyo walitakiw kuomba tena lkn mpaka cku ya dead line kwa secnd round(22/8) ni watu 700 tu ambao waliomba tena so kuona hvyo tcu wakaamua kutuma sms kwa watu 3300 ambao hawakuomb wakihofia kuw itakuja kuw suprise kubw kwao kwan watadhan wamechagulwa kumbe sio.so kama wamekutumia sms na ww ni mmoja wapo hvyo ulipasw ku2ma fax au mail wednesday24 so kama hkufnya hvyo cjui kama utakuw considered au la.then l thnk u get me!
Kuna current vertioni ina majina 9000+ sio 700List nyingine ipi? 2julishe! Ninavyojua mimi kuna list tatu yan qualified but no selected ambao ndio waliotakiwa kuapply tena na wale wasioapply first round,walio mis one principle A'level na walio mis credits 0'level! Je wewe ulikuwa wapi? Kat ya hizi category tatu?
kuna list imeandikwa current vertion ya qualified but not selected, inamajina 9200+ hata hiyo sms mimi sikuipata. I guess a lot of applicant have missed this.mkuu sasa hapo unaanza kunichanganya new version inapatkana wap? Maana nimeitafuta kwenye website ya tcu sijaona kitu! Sanasana kuna please read tu! Ebu nipe source nami niangalie!
kuna list imeandikwa current vertion ya qualified but not selected, inamajina 9200+ hata hiyo sms mimi sikuipata. I guess a lot of applicant have missed this.mkuu sasa hapo unaanza kunichanganya new version inapatkana wap? Maana nimeitafuta kwenye website ya tcu sijaona kitu! Sanasana kuna please read tu! Ebu nipe source nami niangalie!
hapo kwenye read chini yake kuna hiyo list fungua then juu ya hiyo utaona current vertion
Thanks mkuu naomba utuulizie kwa huyo jamaa kuna mpango wowote wa tcu kutoa 3rd appl? Naomba kujua na office zao ziko wapi mkuu..Jumla ya walioomba tcu mwaka huu ni 40175 na ambao walipata kweny first round ni 31000ambo majina yao yamepelekwa bod ya mkopo so hawa 9175 waliobaki 4000 kati yao wana vgezo lkn hawakuchguliw kw sbabu tofaut hvyo wakaambiwa waombe tena hvyo kuna watu zaid ya 5000 ambao wameachw kwa kutokuw na vgezo,pia ujue kuw hz inf nmezpata ktoka kwa m2 wa ndan pale tcu kwa hyo kama una mashak na bahti nzur upo dar ni bora ufike kwenye ofisi zao!