Msaada TCU, watoa sharti jingine 'If not eligible'

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Jamani mbona wanatuchanganya. Kuna waliochaguliwa kozi ambayo waliandikiwa not eligible. Sasa wanatoa tena kuwa kama haikuwa eligible inabidi kuapply second round! What a hell!
 
kaka unauhakika juu ya hilo coz nimechaguliwa facult ambayo nat eligible bt mi cut of point ipo yakutosha xaxa hawa jamaa mbona cwaelew
 
Hapana, nilisoma vibaya, very sorry. Kuwa na amani!!!
 
Jamani mbona wanatuchanganya. Kuna waliochaguliwa kozi ambayo waliandikiwa not eligible. Sasa wanatoa tena kuwa kama haikuwa eligible inabidi kuapply second round! What a hell!

hiyo kaka inawahusu wale 4097 waliopangiwa vyuo ambavyo hawakuomba, so confrim selection na opt 4 2nd application wao inakuwa active,
sasa ukiomba 2nd round na kwenye status ukakuta eligible jua umekuwa admitted moja kwa moja, kama not eligible unatakiwa uchange code fasta.
 
Duuu kunawatu bado wanahangaika na TCU??? aisee poleni aana mungu atasaidia
 
Nimekuelewa, ahasante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…