MahinaVeterani
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 710
- 256
mamaa,mkuu hyo civil c kifo icho,watu weng waxema ni ngumu xana na huwez kucompare na watu wa tele na comptr science kimaendeleo(kwa ninavockia,am nt sure)
Wana JF naombeni msaada wa mawazo yenu,nipo kwenye dilema kama title inavyosema
co ivo,tuko basi moja,mi mwenywe nko dillema,cjui niende wap
Nimefaulu mkuu,ila ndo cjui wapi bora,ila mimi kama mimi naona bora chuo,na ndizo zilizokua plani zangu toka o-lvl,ila nyumban wanataka niende a-lvl
Chezea kulipuliwa wewe.. Nikicheki comment zake nafananisha na zile picha na post zake facebook basi mbavu sina.
Bora chuo
Bora chuo
we mtu si ulini-pm ukaniambia uko muce? Leo tena utasemaje maana kuna uzi umekuelezea wasifu wako bayana.
hana lolo huyu!
Kichwa kibaya ka tikiti maji la chalinze.
Hata kiumri anaonekana mdogo sana maskini ya mungu
Aiseee polee sana Tafuta details za rank za vyuo vya uhandisi mwaka jana utawajua hao wahindi ni kina nani? Shida yao naskia karo kubwa ila ni chuo kinachokua kwa kasi most especially branch yao ya darKasome diploma tena DIT,MIST,ATC,tu usiende ST.JOSEPH ,
Gharama huwa ndogo endapo umetoka moja kwa moja (direct from school)
unawezaje ukachaguliwa!