Habari ndugu naomba msaada simu yangu ina tatizo unaweza kuitumia siku nzima ila kuna muda inajizima na kujiwasha na inaendelea kufanya hivyohivyo mpaka unapobonyeza kitufe cha kuzima ndio inafunguka sasa naomba kufahamu tatizo ni nini na suluhisho lake kabla sijaenda kwa fundi,ahsante.