Kwenye guide book 2013/14 baadhi ya faculty pale kwenye POSSIBLE LOAN AMOUNT wameweka desh(-) au unakuta wameweka sifuri(0) lakini kule mbele wamekuandikia PRIORITY hii inamaana gani? Kuna uwezekano wa kupata au kutokupata mkopo? Naombeni msaada kwa wenye uelewa.