Msaada tetenasi

project planner

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2019
Posts
1,170
Reaction score
1,545
Wakuu natumaini hamjambo naombeni msaada kwa hili Jambo wiki mbili na siku kadhaa nilichomwa na msumari ila uliingia Kidogo Sana nikafuta kwa sababu ilikuwa Kidogo nikaendelea na maisha ila sasa juzi nilianza kusikia mguu kama unavuta hivi nikaenda hospital nikamweleza doctor akanichoma sindano ya tetenasi na kunipa ampicillin nimeze lakini bado mguu unavuta na maumivu yanapanda mpaka Kwenye paja msaada wakuu naombeni nifanyaje
 
Kawaida acha uogaaa we upo dar eeh......!!!
 
Hapana nimesikia juzi kuwa huu ugonnjwa unaua ndio mawazo Tele hapa mkuu na nilichelewa Sana kuchona tetenasi
Tetenas haipo kwenye kila chuma wale ni wadudu wanapatikana sehem maalumu kama kwenye vinyesi vy wanyama mkuu.......
 
nikiwa darasa la tano niko njiani na rafiki yangu mpendwa tunarudi nyumbani alichomwa na msumali ukazama ndani ya kiatu na ukamuingia haswa,baada ya siku kadhaa alilazwa,tukauguza lakini akafariki kwa tetenus,ingawa weng walidai ni ushirikina kwahiyo jitahidi kutafuta tiba zaidi hospital mkuu
 
Dr Adinan , Dr Ahmed Albah-Shahwa , Dr Akeelah , Dr Akili Dr Azda Kwariko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…