F Fungomali Member Joined Jul 21, 2014 Posts 27 Reaction score 4 Nov 8, 2015 #1 Naombeni mnisaidie dawa ya tezi za shingo zimevimba na zinauma sana . Leo siku ya tatu na zinasababishwa na nini?
Naombeni mnisaidie dawa ya tezi za shingo zimevimba na zinauma sana . Leo siku ya tatu na zinasababishwa na nini?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Nov 8, 2015 #2 Nenda hospital, rovu hilo