Limbani JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 1,438 Reaction score 442 Jun 15, 2012 #1 Habari wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kujua mshahara wa serikali TGF kwa mwaka 2009/2010 ulikuwa sawa na shilingi ngapi pia na wa 2010/2011 nao TGF ilikuwa shilingi ngapi?
Habari wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kujua mshahara wa serikali TGF kwa mwaka 2009/2010 ulikuwa sawa na shilingi ngapi pia na wa 2010/2011 nao TGF ilikuwa shilingi ngapi?
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Jun 16, 2012 #2 Una maanisha TGS F au? TGS F ni kati ya 800,000 na 1,000,000