Msaada :tia &ifm

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
habari ?
naomba unijuze kama wewe ni muhusika wa IFM au TIA.
nimepeleka form ya maombi ya kujiunga kwa ngazi ya certificate katika vyuo hivyo.
Kwa hiyo ningependa kufahamu kama majibu yamesha toka au kama bado kwa mwenye kujua lini yanaweza kutoka pia anifahamishe.
asanteni !
 
Nenda kwenye website ya chuo husika angalia
 

ingia kwe website ya IFM..hii apa chin.

www.ifm.ac.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…