Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi
Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?

Nitafute kwa namba 0757420505 NI ugonjwa mbaya sana hivyo nitafute naweza kukupatia dawa na utapona kabisa
 
Nitafute kwa namba 0757420505 NI ugonjwa mbaya sana hivyo nitafute naweza kukupatia dawa na utapona kabisa

sawa mkuu nitafanya hivyo , ahsante sana!
 
Wakuu Ni Wiki 2 Sasa Koo Langu Liko Ambushed Kwa Fangasi
Msaada Kwa Wale Wahanga Na Wazoefu Wa Yale Mambo!...... Mnatumiaga Mbinu Gani Kurecover?
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kawaida.Baada ya SIKU 7 ,tangu kutumia dawa utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
 
Mzizi mkuu
Esophageal candidiasis ni ugonjwa wa wenye immuno suppression na ni stage 4 kwa gonjwa la sasa hivo lazma aanze dawa.
Tumia fluconazole high dose na anza septrin pia
 
Ningependa kushea exprience ya huo ugonjwa, koo linakuwaje?je tonsils zinavimba?plz tungependa kuelimika kutoka kwako bro?ili na jamii iweze tambua plz
 
Kapime naafya yako mkuu!huo ni ugonjwa wa nadra sana, si ajabu kinga yako iko chini,,,, kuwa jasiri kapime kabla hawajafika tumboni
 
Mzizi mkuu
Esophageal candidiasis ni ugonjwa wa wenye immuno suppression na ni stage 4 kwa gonjwa la sasa hivo lazma aanze dawa.
Tumia fluconazole high dose na anza septrin pia
Mkuu jaribu kunielewa sikatai asitumie dawa ukiona mpaka
mtu ameleta hapa matatizo yake tuna imani amesha kwenda hospitali hatuwezi kumpa ushauri wa dawa za
mitishamba kutumia pasipo na kujuwa kama amesha kwenda hospitali kujitibia? ukiona mtu kaja hapa kutaka
msaada wetu inamaanisha Hospitali wameshindwa kumtibu hayo maradhi. Au ametumia dawa za hospitali hajapona ndio maana kaja hapa kutaka Msaada na ushauri wetu. Mkuu huyu mkuu Majigo ameshapatwa na
Saratani ya Koo (ORAL SEX) hiyo ndio dalili yake. Hebu soma hapa chini
Utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini umeonyesha asilimia 20 ya

Saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomo maarufu kama Oral Sex.
Utafiti huo unaonyesha saratani ya koo licha ya kuambukizwa na njia mbalimbali ikiwemo ulaji wa
vyakula vyenye pilipili, pombe kali, vitu vyenye uchachu pamoja na kurithi kutoka kwa wazazi.
Utafiti unaonyesha watu wengi hasa vijana wanamejiingiza kwenye vitendo hivi vya kufanya ngono
wakitumia midomo hasa ndimi, hivyo kuhatarisha uhai wao.
Katika utafiti huo wa hivi karibuni, ulibaini wanaume 747 na wanawake wakiwa 472 hugundulika
kila mwaka kuwa na saratani hiyo huku wanaopoteza maisha kila mwaka ni wanaume 444 wakifuatiwa
na wanawake 270 kutokana na ugonjwa huo.
Utafiti unabainisha kuwa asilimia kubwa ya vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 45 wanatumia staili
ya kuwanyonya wenza wao sehemu za siri lengo likiwa ni kuwavutia wapenzi wao katika kushiriki ngono.
Vijana wenye umri huo ndio wahanga wakubwa kwa sasa kutokana na ugonjwa huo kuonekana kuwaathiri
kwa kasi, huku wengi wakiwa hawajui athari zake. Baadhi hujisifia kwamba ni wajuzi, kumbe wanajitafutia
kifo kwa kufanya vitendo hivyo.
Utafiti unaonyesha kwa watu wazima walio wengi hawana muda wa kufanya hayo wanayofanya
vijana, hivyo kujikuta angalau wanakuwa salama na kupatwa na saratani ya koo kwa njia hiyo
inayoonekana kama ni chafu pia.

Pole sana mkuu, watu watakuwa wamejifunza kutokwenda chumvini.

Mkuu kama ni mwanaume basi kua makin waeza saidiwa na wenzio huko mkeo akatafuta anayejua kumwendea chumvin maana Wanawake wengi wanapenda kulambwa chumv.......sasa kama mkeo humfanyii ivyo hmm
 
kuna wakati huwa nakuwa strongly convienced kwamba mantiki ama purpose ya hili jukwaa inakosewa sana. sijui na ethics gani tunatumia kutoa ushauri tunaotoa, maana kinachoandikwa humu is very unethical and very unprofessional.
uhai wa mtu sio wa kuchezea, tusifanye majaribio.
ni hayo tu, mk1.
 
Ningependa kushea exprience ya huo ugonjwa, koo linakuwaje?je tonsils zinavimba?plz tungependa kuelimika kutoka kwako bro?ili na jamii iweze tambua plz

mkuu koo lilikuwa linauma na kutoa harufu ya uvundo
namshukuru Dr MziziMkavu kwa tiba aliyonipatia
 
Kapime naafya yako mkuu!huo ni ugonjwa wa nadra sana, si ajabu kinga yako iko chini,,,, kuwa jasiri kapime kabla hawajafika tumboni

siendi kupima mkuu!
Mimi sasa nimepona
dawa kanipatia Dr wangu mzizi mkavu
ahsante kwa ushauri!
 
nei!..nei....Dr Mzizimkavu pamoja na wachangiaji wote jamani Nashukuru sana ! Mimi sasa siumwi kooo, niko poa kabisa...ila dawa ya kuzamia sasa nimeijua
ahsanteni nyote....Mungu awarehem kwa mda mliopoteza kwa ajili yangu!!!
 
Mkuu kama ni mwanaume basi kua makin waeza saidiwa na wenzio huko mkeo akatafuta anayejua kumwendea chumvin maana Wanawake wengi wanapenda kulambwa chumv.......sasa kama mkeo humfanyii ivyo hmm

mwambie huyo mkuu!
Siku hizi uzamiaji ni lazima ktk mapenzi, ila kuwa makini na unaokutana nao
mi sina presha , dawa nimeijua!!
Ahsanteni sana jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…