Msaada tiba Kwa fangasi za kooni!

Mkuu, kuna jamaa ana Dawa yeye anaiita DNA ingawa hicho ni kifupi cha majina Yeye, Mke wake, na Binti yake. Ni dawa iliyofanyiwa utafiti na kuthibitishwa na TRADITIONAL MEDICINE RESEARCH (samahani kama sijapatia).Hiyo dawa ni mchanganyiko wa dawa nyingi za asili, vikiwamo viungo tunavyovitumia kwenye vyakula!mtafute kwenye 0784261855, 0787261855 na 0754261855.Anaitwa Dani.
 

Mkuu mkuyati
nimekuelewa; mimi sasa nimepona kabisa
ahsante sana!
 
Last edited by a moderator:

ahsante sana mkuu!
Mimi sasa nimepona kabisa!
 

ahsante Dr MziziMkavu
samahani sana kwa kuchelewa kutoa mrejesho
taarifa ni kwamba mimi nimepona kwa ushauri ulionipa mimi sasa sio mgonjwa tena!
 
Last edited by a moderator:
Majigo pamoja na kupata dawa ya Dr wangu MziziMkavu na zile za madukani, pia kama walivyofanya baadhi ya member nakushauri pia ukapime afya yako mapema sana!!! si kwa nia mbaya ila kwa kua ulikuwa unazama basi jua unaweza kukutwa na lolote tu. Ni bora ufanya yafuatayo, pima VVU na kipomo cha Cancer pia kwa kuwa hata MziziMkavu ameelezea tafiti ya WHO na masuala ya Oral Sex!!! Du ni lini tutaacha kutembeza ndimi kwa watu wa hit and run?? Kuna vionjo vingi vya foreplay kiasi kwamba hata cha chumvini unaweza kuacha hata kama ni kwa mke/mume!!! Hatuaminiani siku hizi!! Kila mtu mchepuko tu!!!! Mara niko kitchen party kumbe mchepuko, mara fundi gari kumbe mchepuko wako!!! Ni nani atapona!!!?? Wenye ndoa tunaongoza!!!
 

dahh! Mkuu nimekuelewa ila ngoja kidogo nisikilizie , nitakwenda kupima ukimwi baadaye kidogo!!
Ila jamani msinishauri tena suala la kuchukua vipimo vya HIV!
 
dahh! Mkuu nimekuelewa ila ngoja kidogo nisikilizie , nitakwenda kupima ukimwi baadaye kidogo!!
Ila jamani msinishauri tena suala la kuchukua vipimo vya HIV!

Mkuu nasubiria, ukitoka tu uje utupe majibu hapa, tena yakiwa +ve nidyo vizuri sana upate ushauri kuliko kumeza kaa na kuumia CD4 zishuke ufe haraka!!! There is plenty of life after HIV?? Wenye Cancer hata miaka mitatu kama ni ya sehemu nyeti kama koo au tumboni hata miaka mitatu hawamalizi!!! Why worry wakati na HIV unaweza kudumu hata miaka 20 hujameza kidonge? Hapa ni kama uligundua maambukizi mapema na kuanza kujitunza hasa kwa kula health na kupunguza ngono maan akuacha not health pia!!! CD4 zikishuka ukaanza the right dose you have another 20 years, hapa pia kuna taratibu health eating ne mengine!! Sasa kama now you are at 25-30 sasa huoni kama una 65-70 unaishi? Usiogope VVU, ogopa cancer (saratani), kisukari, presha!!!!
 

nimekubali dokta ila kwa sasa mind yangu haijatulia
ahsante sana kwa kunipa matumaini!
 
nimekubali dokta ila kwa sasa mind yangu haijatulia
ahsante sana kwa kunipa matumaini!

Sawa mkuu, ninaamini itatulia tu na utafanya maamuzi ya busara na yaliyo sahihi!!!! Bora kufahamu mapema ukapata ushauri wa health living!!!! Kuliko kutojitambua hasi siku CD4 zinashuka vibaya na ukaanza kupukutika. Kila la heri.
 
hapana mkuu!
Kwani siku zote ninapotoa maswahibu yangu nyeti hapa huwa nakwenda hospita?
Namaanisha, wala si utani!


Umeona hiyo post yake? Sio kila anaepost hapa maanake amekwenda hosp tyar
 
hivi nyie vijana mnazamia tu hamjui ni kujihatarisha? ujue hata ukimwi unaweza kuambukizwa kwa kuzamia hivyohivyo, hiyo fungus na nini utatibu, na ukimwi je? yaani ukizamia ni sawa tu na kufanya ngono bila condom, kuweni makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…