msaada tiba mbadala ya chronic prostatitis....msaada

msaada tiba mbadala ya chronic prostatitis....msaada

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
Mimi ni kijana umri miaka 21,nina tatizo ambalo nasumbuliwa nalo kwa mda mrefu sasa lilianza kama miaka 2 iliyopita ,nilianza na dalili zifuatazo
1)nikipata haja ndogo,mkojo huwa hautoki mara moja huchukua sekunde kadhaa ndio hutoka
2)kupata UTI mara kwa mara,jambo ambalo sio la kawaida
3)kupata maumivu sana baada ya kupata ejaculation
4)pia manii huwa hazitoki kwa wingi(kukosa ute mweupe wa manii)
5)pia mkojo hauna nguvu ukitoka yaani na kasi
6)hivi karibuni nilikuwa napata maumivu karibu na eneo la uume
7)nguvu zangu za kiume naona zimepungua kiasi
MAJIBU YA HOSPITAL
niliiambiwa kuwa nina ugonjwa unaitwa cystitis(maradhi katika kibofu cha mkojo)nilipewa dawa ila zilisaidia kutoa maumivu tu ila dalili nyingine zinaendelea kujionyesha,ila nilienda hospital nyingine wakaniiambiia ni chronic prostatitis,ila pia walinipa dawa ila hazikusaidia kitu..msaada wajuzi
 
Pole sana ndug. NiPm nikuelekeze ofc zangu zilipo nikupe msaada
 
Back
Top Bottom