Wanajamvi salaam!
Ninaomba kusaidiwa mtu anayemfahamu mtaalamu anayetibu kwa kutumia mimea kwenye tatizo la mifupa au nerves. Nina case ya mtu ambaye discs zake tatu za kwenye spinal cord zimechakaa kiasi cha kuathiri mshipa wa fahamu. wataalamu hapa wanasema hakuna njia nyingine. Je mtu anaweza toa ushauri please? ama India? If yes, ni hopt gani na mji gani?so much in need and in demand!