mirry kirungi
Member
- Jul 21, 2023
- 5
- 2
Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapitia dalili gani ndugu?Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
Mkuu pole sana kwa hao wadudu wa H-Pylori wanaokusumbuwa huwezi kupona kwa kutumia hizo dawa za hospitali .Kwani hizo dawa ya helgo kit haziwezi kuwauwa hao wadudu wa H-Pylori dawa hiyo ina walewesha tu hao wadudu kwa muda fulani unapo tumia hiyo dawa ikimalizika nguvu yake mwilini wadudu hao wa H-Pylori wanashambulia vidonda vyako vya tumbo inakuwa sababu huwezi kupona vidonda vyako vya tumbo kwa sababu ya hao wadudu wa H-Pylori. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona kabisa uguwa pole.Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
Kaka ungeweka hapa matibabu ungetusaidia wengiMkuu pole sana kwa hao wadudu wa H-Pylori wanaokusumbuwa huwezi kupona kwa kutumia hizo dawa za hospitali .Kwani hizo dawa ya helgo kit haziwezi kuwauwa hao wadudu wa H-Pylori dawa hiyo ina walewesha tu hao wadudu kwa muda fulani unapo tumia hiyo dawa ikimalizika nguvu yake mwilini wadudu hao wa H-Pylori wanashambulia vidonda vyako vya tumbo inakuwa sababu huwezi kupona vidonda vyako vya tumbo kwa sababu ya hao wadudu wa H-Pylori. Nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona kabisa uguwa pole.