Msaada tiba ya henia, hasa wakati wa baridi, sehemu za siri huuma.

Msaada tiba ya henia, hasa wakati wa baridi, sehemu za siri huuma.

kidesheni

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
178
Reaction score
35
Wakuu, naomba kuwasilisha kwenu tatizo hili, wakati wa baridi, sehemu za korodani hujaa vimaji kidogo, ambavyo hupelekea kuhisi kaama kichomi, na kuuma, tiba yake hasa ni nini? wengine huita mshipa wa ngiri au mchango.
Nawasilisha.
 
Tiba yake ni operations tu, hakuna dawa asikudanganye mtu. Nenda hospital iliyo karibu nawe wakupangie tarehe ya operations
 
Mkuu ninakushauri ufuate maelekezo aliyotoa Mupirocin hapo juu..... Upasuaji ndio tiba pekee ya hernia
 
Last edited by a moderator:
Naungana na wenzangu operation ndio jibu la hernia. Its the matter of 20 ti 30 minutes in experienced hands.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom