Hii balaa tupu nasikia kuwa wanafanya upasuaji na kuanza kutibia toka hapo mwanzo...kuna injections unakuwa unachomaWakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu tiba yake au mtaalamu anayetibu msaada please!
View attachment 2342208View attachment 2342209
Huu ugonjwa hauna tiba mpak sasa , Ila kuna njia unaweza tumia kupunguza tatizo na hata kurudi 0% , but hata ikiisha itakuwa inatokea mara Kwa mara,..... Tatizo hili Kwa asilimia kubwa lipo Africa , na chanzo kikuu ni reaction ya ngozi inayoweza sababishwa na upasuaji , mashine za saloon zinazochimbua nywele ( hasa Kwa wenye ngozi ambazo ni sensitive) , inheritance n.k, tatizo hili hujitokeza hasa kuanzia umri wa miaka 28 +Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu tiba yake au mtaalamu anayetibu msaada please!
View attachment 2342208View attachment 2342209
Pole,Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine huambana na muasho na maumivu.Na mara nyingi ukifanya upasuaji huwa zinarudi tena. Kwa anayefahamu tiba yake au mtaalamu anayetibu msaada please!
View attachment 2342208View attachment 2342209