Msaada tiba ya Kisonono

hiyo kitu matibabu yanaitaji kuchomwa sindano ambazo uchomaji wake zinauma sana ni nisindano nne ili upone vizuri kama ni sugu kama haijawa sugu tatu, haiponi mara moja inachukua muda baada ya kumaliza sindano
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, kwa maelezo ya Dr ni kuwa sindano hizo zinaitwa panaduu(sijui kama niko sahihi) kwa maelezo yako ndio hizi sindano nazochomwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu.

Penaduu ni balaa gongwa 10cc (5cc each tako) zimenipitia kwenye syphilis

Ukimaliza sindano na hizo madawa za vidonge basi naamin itakua poa tu. Pia jaribu kitumia mlonge kama ulivyoshauriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, kwa maelezo ya Dr ni kuwa sindano hizo zinaitwa panaduu(sijui kama niko sahihi) kwa maelezo yako ndio hizi sindano nazochomwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Linaweza kuwa jina la kibiashara ila kwa ulivyo elezea naisi ni hiyo hiyo
 
Usipende kujitibu mitandaoni.
Nina mashaka kama unaijua kisononi na dalili zake.
Nenda hospitali nyingine ukatibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…