Msaada tiba ya Kisonono

Multidrug-Resistant Gonorrhea: New Treatment Guidelines:-

Multidrug-Resistant Gonorrhea: New Treatment Guidelines

..... The CDC's updated treatment recommendations are:

  • Treat gonorrhea at any anatomic site with a single intramuscular injection of 250 mg ceftriaxone plus either 1 g azithromycin as a single oral dose or 100 mg doxycycline orally twice per day for 7 days.
  • If ceftriaxone is not available, patients can be given a single oral dose of cefixime 400 mg and either a single dose of azithromycin or doxycycline 100 mg orally twice per day for 7 days.
  • If the patient is allergic to cephalosporins, he or she can be given a single dose of azithromycin 2 g.
  • Patients who receive either of the alternatives to ceftriaxone should return for a test of cure in 1 week.....
 
Ahsante mkuu.
 
Kwa hiyo unaacha zinaa hadi upone unarudi tena kwenye zinaa, macho haya yanatuponza sana!!
 
Mzizi wa mpapai chemsha chuja kunywa mara 2 kwa siku
 
Ahsante sana, samahani, nichemshe kiasi gani? Nusu lita, lita moja au?
Inategemea na mizizi ulonayo...... ukienda duka la dawa za asili utapewa na maelezo vzuri...jitahid kumaliza dose
 
Inategemea na mizizi ulonayo...... ukienda duka la dawa za asili utapewa na maelezo vzuri...jitahid kumaliza dose
Kama sitaoata duka la asili, (nipo kijijini) dozi ni siku ngapi? Mizizi nachimba mwenyewe.
 
Kuna daktari mmoja alikuwa anatumia dawa za asili alinitibu zamani kidogo kwenye 2018 yule jamaa alikuwa na dawa nafikiri ni za kihaya aaah sijawah ona dawa kama zile maishani mwangu yaani nilikuwa na gono nikawa natumia madawa kila aina ila nilipotumia ya yule jamaa wiki 1 tu. Unaweza kumcheki namba yake ni 0686527039 ingawa sina uhakika siku hizi yuko wapi. Alikuwa ana tibu matatizo ya uzazi na hayo maswala ya gono
 
DAWA YA GONO

Nenda maduka ya agrovet nunua dawa moja inaitwa Copa choma matakoni cc moja tu Basi.
Kesho utakua mtaani unadunda Yani

Hii dawa unapona chapu kwa haraka ..mbio mbio
 
yaani kuna watu hadi leo hii bado wanaumwa kisononi? nashauri wapelekee taarifa na wale uliotembea nao ili wakatibiwe manake ndio sheria, ulete na wale uliotembea nao watibiwe ili wasiende kuambukize wengine. hivi kisonono ndio gono? sipati picha, inapandaga hadi kwenye mbupu hiyo inasaga unatoka usaha tu, kama hujazaa bado mwombe Mungu akusaidie.
 
Pole sana mkuu.

Penaduu ni balaa gongwa 10cc (5cc each tako) zimenipitia kwenye syphilis

Ukimaliza sindano na hizo madawa za vidonge basi naamin itakua poa tu. Pia jaribu kitumia mlonge kama ulivyoshauriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh mi nimetumia Penadu nimepona ila nashangaa usawa wa kifua na kuvuta pumzi bado changamoto broo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…