MSAADA TIBA YA KIUNO

MSAADA TIBA YA KIUNO

kijanamdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
231
Reaction score
177
Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba
 
Mkuu hebu kapime mkojo kwanza U.T.I sugu inasababishaga kiuno kuuma wakati mwingine
 
Back
Top Bottom