kijanamdogo JF-Expert Member Joined Feb 25, 2018 Posts 231 Reaction score 177 Apr 10, 2018 #1 Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba
Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 10, 2018 #2 kijanamdogo said: Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba Click to expand... umri?
kijanamdogo said: Nina tatizo la kuumwa kiuno.sijawahi kuanguka au kupata ajali imejitokeza ghafla na hata kuinama inakuwa shida naomba msaada wa tiba Click to expand... umri?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,253 Reaction score 22,843 Apr 10, 2018 #3 Mkuu hebu kapime mkojo kwanza U.T.I sugu inasababishaga kiuno kuuma wakati mwingine