Msaada tiba ya macho

Msaada tiba ya macho

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Msaada wadau, macho yangu huwa yanawasha nakutoa machozi,kwa anaefahamu tiba yake wanajamvi anisaidie
 
Hayo macho yako yanawasha kwa wakati gani?nadhani unatatizo la macho kuwa makavu yaani huna production ya machozi ya kutosha...kwahio unahitaji eyedrops au artificial eyedrops!
 
Back
Top Bottom