M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Aug 1, 2013 #1 Msaada wadau, macho yangu huwa yanawasha nakutoa machozi,kwa anaefahamu tiba yake wanajamvi anisaidie
Msaada wadau, macho yangu huwa yanawasha nakutoa machozi,kwa anaefahamu tiba yake wanajamvi anisaidie
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,683 Aug 1, 2013 #2 Hayo macho yako yanawasha kwa wakati gani?nadhani unatatizo la macho kuwa makavu yaani huna production ya machozi ya kutosha...kwahio unahitaji eyedrops au artificial eyedrops!
Hayo macho yako yanawasha kwa wakati gani?nadhani unatatizo la macho kuwa makavu yaani huna production ya machozi ya kutosha...kwahio unahitaji eyedrops au artificial eyedrops!