Msaada: Tiba ya masikio kulia kama kengele

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu habari,

Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi.

Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
 
Nenda Hospital ya Muhimbili kitengo ya "ENT" kaonane na wataalam watakusaidia. Pole sana.
 
Wakuu habari,

Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi.

Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na upate kupona maradhi yako .
 
Tinittus
Treatment
Intravenous Lidocaine 50mg-100mg(the best)
Intra-tympanic dexamethasone injection
Diazepam
Sodium valproate
Nenda kamuone ENT surgeon
 
Back
Top Bottom