D devinyo1987 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 268 Reaction score 370 Jul 24, 2021 #1 Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,475 Reaction score 5,290 Jul 26, 2021 #2 devinyo1987 said: Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri. Click to expand... Nenda Hospital ya Muhimbili kitengo ya "ENT" kaonane na wataalam watakusaidia. Pole sana.
devinyo1987 said: Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri. Click to expand... Nenda Hospital ya Muhimbili kitengo ya "ENT" kaonane na wataalam watakusaidia. Pole sana.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 27, 2021 #3 devinyo1987 said: Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri. Click to expand... Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na upate kupona maradhi yako .
devinyo1987 said: Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri. Click to expand... Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na upate kupona maradhi yako .
IvanAve Member Joined Dec 14, 2019 Posts 44 Reaction score 26 Aug 2, 2021 #4 Tinittus Treatment Intravenous Lidocaine 50mg-100mg(the best) Intra-tympanic dexamethasone injection Diazepam Sodium valproate Nenda kamuone ENT surgeon
Tinittus Treatment Intravenous Lidocaine 50mg-100mg(the best) Intra-tympanic dexamethasone injection Diazepam Sodium valproate Nenda kamuone ENT surgeon
M MissAddie New Member Joined Oct 23, 2022 Posts 3 Reaction score 3 Nov 4, 2022 #5 Herbalist Dr MziziMkavu said: Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na upate kupona maradhi yako . Click to expand... Unapatkana wapi?
Herbalist Dr MziziMkavu said: Mkuu pole kwa hayo maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na upate kupona maradhi yako . Click to expand... Unapatkana wapi?