ndisinzowa
Member
- Aug 18, 2010
- 86
- 14
Hi Jf,
Mama yangu anasumbuliwa sana na miguu na pia ana Kisukari.
Tushampeleka baadhi ya Hospitali na baadhi ya dawa katumia lakini hazijamsaidia.
Naombeni msaada kwa ushauri wenu.
Nawashukuru