Msaada: Tiba ya michubuko

Kuanzia leo anza kubadilisha mwendo ukitembea usibananishe miguu sawa
 
yap unatakiwa upate combination moja ya anti-fungus and anti-biotic itakusaidia sana, inaonekana uli do na mutu alie na infection na ww umepata hiyo infection.
 
yap unatakiwa upate combination moja ya anti-fungus and anti-biotic itakusaidia sana, inaonekana uli do na mutu alie na infection na ww umepata hiyo infection.

Ni kweli mkuu, ila kwa sasa nishaanza tiba ya anti-fungus na anti-biotic kiufup inanisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…