KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERPLASIA BPH) FEATUREAnayefahamu kuhusu hilo tatizo tafadhali naomba maelekezo pia kama anafahamu tiba yake maana nasikia mtu akiwa nalo anahitaji kupata dawa kwa muda wa miezi sita. Kutumia dawa kwa muda wote huo siyo mchezo naona.
Msaada kwa hilo tafadhali